ETDCO yachangia mifuko 100 ya saruji
Kampuni ya ETDCO yachangia mifuko 100 ya saruji kwenye ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Nyamikoma (Maarufu kama PIDA), wilayani Butiama, mkoa wa Mara. Tukio hilo lilifanyika tarehe 14/09/2023 kwenye eneo la mradi. Pichani chini, Meneja wa TEHAMA na Uendelezaji Biashara wa ETDCO ndugu Dudu Fuime, akikabidhi stakabadhi ya ununuzi wa saruji hiyo kwa diwani wa kata ya Kyanyari ndugu Mgingi Mhochi Itagata.
Read MoreMAFANIKIO YA ETDCO TOKEA KUANZISHWA KWAKE
ETDCO YAJIVUNIA MIAKA 60 YA UHURU KWA KUWA KAMPUNI INAYOINGIZA FAIDA KILA MWAKA, PAMOJA NA KUTEKELEZA MIRADI 74 YENYE THAMANI YA BILIONI 156.03
Read MoreUZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) - MBEYA
WAFANYAKAZI WA ETDCO WAKIWA KWENYE UZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI MKOA WA MBEYA
Read More